

Tangu sasa waliooa waishi kama hawakuoa 30 na wana oomboleza kama hawaoombolezi wenye furaha kama hawana furaha wanaonunua kama walivyonunua si mali yao 31 na wanaoshughulika na vitu vya dunia hii, kama hawahusiki navyo. Lakini wanaooa watakabil iana na matatizo mengi katika maisha haya, nami ningependa myaep uke kwa kubaki mlivyo.Ģ9 Nikisema hivyo ndugu zangu, nina maana kwamba muda uliobaki ni mfupi. 28 Lakini kama ukioa, hujatenda dhambi na kama bikira akiolewa hajatenda dhambi. Sina amri yo yote kutoka kwa Bwana, lakini mimi natoa ushauri kama mtu aliyemwaminifu kwa rehema ya Bwana.Ģ6 Kwa sababu ya dhiki iliyopo, nadhani itakuwa vyema mki baki kama mlivyo. Kwa Hali Ya Sasa, Afadhali KutokuoaĢ5 Sasa, kuhusu wale walio bikira. 24 Kwa hiyo ndugu zangu, kila mmoja wenu akae na Mungu katika nafasi aliyokuwa nayo alipoitwa. 23 Mmenunuliwa kwa gharama msikubali kuwa watumwa wa watu. Hali kadhalika mtu aliyekuwa huru alipoitwa ni mtumwa wa Kristo. 22 Kwa maana aliyeitwa kwa Bwana akiwa mtumwa ni mtu huru wa Bwana. Lakini kama unaweza kuwa huru, utumie nafasi hiyo. 21 Je, wewe ulipoitwa ulikuwa mtumwa? Jambo hilo lisikusumbue. 20 Kila mtu abaki katika nafasi ambayo alikuwa nayo alipoitwa kuamini. Jambo lililo muhimu ni kutii amri za Mungu. 19 Kwa kuwa kutahi riwa au kutotahiriwa si kitu. Na kama mtu alikuwa hajatahi riwa alipoitwa, basi, asitafute kutahiriwa. Hii ndio amri ninayotoa kwa makanisa yote.ġ8 Kama mtu alikuwa ametahiriwa alipoitwa, basi asijaribu kuondoa alama za kutahiriwa kwake.

16 Wewe mke, unajuaje kama hutamwokoa mumeo? Wewe mume unajuaje kama hutamwokoa mkeo? Kuishi Kama Mlivyoitwaġ7 Kila mtu aishi maisha aliyopangiwa na Bwana, na ambayo ameitiwa na Mungu. Kwa sababu Mungu ametuita tuishi kwa amani. Katika hali hiyo mke au mume ambaye ni mwamini hafungwi.

15 Lakini kama yule asiyeamini akitaka kuachana na mwenzake anayeamini, basi na iwe hivyo. Kama isingalikuwa hivyo watoto wao wangalikuwa si safi, lakini ilivyo sasa wao ni watakatifu. 14 Kwa maana huyo mwanaume asiyeamini anatakaswa kwa ajili ya mkewe naye mwanamke asiyeamini anatakaswa kwa ajili ya mumewe anayeamini. 13 Na kama mwanamke mwamini ameolewa na mwanaume asiyeamini, na huyo mwanaume amekubali kuishi naye, basi huyo mwanamke asimpe talaka. Na mume asimpe mkewe talaka.ġ2 Lakini kwa wengine nasema, si Bwana ila ni mimi: kama ndugu ana mke asiyeamini, na huyo mke amekubali kuishi pamoja naye, basi asimpe talaka. 11 Lakini kama akimwacha, ni lazima akae bila kuolewa, ama sivyo apatane tena na mumewe. Ni afadhali kuoa kuliko kuwaka kwa tamaa.ġ0 Kwa wale waliooana ninayo amri, si amri yangu ila ni ya Bwana. 9 Lakini kama hawawezi kujizuia, basi waoe. Ingekuwa vizuri kama wangeendelea kuishi bila kuoa au kuolewa kama mimi. Lakini kila mtu amepewa karama yake kutoka kwa Mungu, mmoja ana karama hii na mwingine ana karama ile.Ĩ Na sasa nasema kwa wale wasioolewa na kwa wajane. 7 Ningalipenda wote wawe kama mimi nilivyo. 6 Nasema haya kama ushauri, na si sheria. Lakini baada ya muda huo rudianeni tena shetani asije akapata nafasi ya kuwajaribu kwa sababu ya kushindwa kujizuia. 5 Msiny imane, isipokuwa kama mmekubaliana kufanya hivyo kwa muda mfupi ili muwe na nafasi nzuri ya maombi. Vivyo hivyo, mume hata wali mwili wake mwenyewe, bali mkewe ndiye anayeutawala. 4 Kwa maana mke hatawali mwili wake mwe nyewe, bali mume wake ndiye autawalaye. 2 Lakini kwa kuwa dhambi ya zinaa imeenea, kila mwanamume awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke awe na mume wake mwenyewe.ģ Mume atimize wajibu wake wa ndoa kwa mkewe na hali kadhal ika mke kwa mumewe.
